blog, 1, 2, 3, 4, 5, 6, 7, 8, 9, 10, shop/, 11, 12, 13, 14, 15, 16, 17, 18, 19, 20, wp, 21, 22, 23, 24, 25, 26, 27, 28, 29, 30,Serikali imeraiwa kuanzisha kampeni ya kutoa chanjo kwa watoto walio na umri wa kati ya miaka 12 na 18 huku taifa likikabiliwa na wimbi la saba la ugonjwa wa covid-19. Maambukizi ya corona yanatarajiwa kuongezeka hasa katika kipindi cha likizo na sherehe za krismasi. Ka kama anavyoarifu Brenda Wanga, wananchi wanahimizwa kurejelea tahadhari walizokuwa wakichukua kama vile kuvaa maski, kuweka umbali na kudumisha usafi

source